Habari
Polisi waingilia sakata la mwanamke anayeidaiwa kufumaniwa na mume wa mtu
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limeanza kufanya uchunguzi kuhusu tukio la Vena Mushi kupigwa kwa madai ya kufumaniwa na mume wa mtu. ...Utafiti: WHO yasema hydroxychloroquine inaongeza vifo kwa wagonjwa vya Covid-19
Wakati dunia ikiendelea na majaribio ya dawa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na janga la corona, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesitisha ...Wizara ya Mambo ya Nje yafafanua kuondolewa Balozi wa Tanzania nchini Kenya
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imekanusha taarifa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. Pindi Chana ameondolewa ...Zanzibar kulegeza masharti ya kudhibiti corona
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amesema serikali visiwani humo inakusudia kulegeza masharti yaliyowekwa katika ...Tanzania yatoa kibali cha kusafirisha makinikia nje ya nchi
Miaka mitatu tangu ilipoweka zuio, Serikali ya Tanzania imetoa kibali cha kusafirisha kwenda nje ya nchi makontena 277 yenye mchanga (makinikia) wa ...