Uchumi
Tanzania yasitisha safari za Shirika la Ndege la Kenya
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetangaza kusitisha vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kuendesha safari za abiria kati ...Watalii wa Kenya wakimbilia Tanzania baada ya ada ya kuingia Masai Mara kupandishwa
Seneta wa Narok nchini Kenya, Ledama Ole Kina, ameeleza nia yake ya kuwasilisha kesi mahakamani kupinga ongezeko jipya la ada ya kuingia ...Nchi 10 za Afrika zenye deni kubwa zaidi IMF
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limechapisha orodha ya nchi 10 za Afrika zenye deni kubwa zaidi, huku Tanzania ikiwa haijatajwa kwenye orodha ...Jela miaka 100 kwa kukutwa na meno ya tembo
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imewahukumu watu watano kifungo cha miaka 100 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ...Malawi yapiga marufuku uagizaji mahindi toka Kenya na Tanzania
Malawi imezuia uagizaji wa mahindi kutoka Kenya na Tanzania kwa sababu ya wasiwasi wa kuenea kwa ugonjwa hatari wa Mahindi, Lethal Necrosis ...