Uchumi
IMF yaidhinisha mkopo wa TZS bilioni 358 kwa Tanzania
Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia kuikopesha Tanzania dola 153 milioni (TZS bilioni 358.9) kwa ajili ya kusaidia ...Serikali yasajili miradi ya trilioni 17, yaweka rekodi ya ajira
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha mwaka 2021 hadi Januari, 2023 Serikali imesajili jumla ya miradi ya uwekezaji 537 yenye ...Waziri Mkuu: Tumeanza kuifanyia kazi ripoti ya CAG
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali tayari imeanza kuifanyia kazi taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) baada ...Kampuni ya Australia iliyofutiwa leseni yatishia kukamata ndege ya Tanzania
Kampuni ya Indiana Resources ya Australia imetishia kuikamata ndege ya Tanzania endapo itashindwa kulipa fidia kufuatia kesi iliyofunguliwa katika Mahakama ya Kimataifa ...ATCL yatangaza mabadiliko ya ratiba kutokana na uchache wa ndege
Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imesema inapitia changamoto za mabadiliko ya ratiba za ndege kutokana na uchache wa ndege zilizobaki iliosababishwa ...Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi
Benki ya Dunia (WB) imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inapopata fedha kutoka ...