Orodha ya watakaofanya usaili wa kazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
ORODHA-YA-USAILI-TAALUMA-MBALIMBALI-MACH-30-2025-CPR
Wasifu wa marehemu Balozi Juma Volter Mwapachu
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Balozi Juma Mwapachu amefariki dunia jana Machi 28, 2025 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Juma Volter Mwapachu alizaliwa Septemba 27, ...Zaidi ya watu 1,000 wamepoteza maisha kutokana na tetemeko la ardhi Myanmar
Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 katika kipimo cha Richter limeikumba Myanmar, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000 huku watu 2,376 wakijeruhiwa. Tetemeko hilo limetokea Machi 28, 2025, karibu na mji wa ...UDART yatangaza kusitisha huduma za usafiri baadhi ya maeneo kutokana na mvua
Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) imesema kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, imepelekea kusitisha kwa muda kwa huduma za usafiri kwa uelekeo wa mabasi ya Mbezi/Kimara – Gerezani na Kivukoni. UDART imesema ...Canada: Uhusiano wa zamani na Marekani umekwisha
Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney amesema nchi hiyo italazimika kupunguza utegemezi wake kwa Marekani kwani uhusiano wao unazidi kuzorota. Akizungumza baada ya mkutano wa baraza la mawaziri kuhusu vitisho vya ushuru kutoka kwa Rais Donald ...Marekani yapanga kusitisha ufadhili kwa Shirika la chanjo
Marekani inapanga kusitisha ufadhili wake kwa shirika la Utoaji wa Chanjo Duniani (GAVI) ikiwa ni sehemu ya juhudi za Rais Donald Trump kupunguza misaada ya kigeni. Mkuu wa Gavi, Sania Nishtar, amesema shirika hilo bado halijapokea ...‘Lipa ChapChap’: Benki ya Exim Yaja na Mapinduzi ya Malipo Kidijitali
Benki ya Exim Tanzania imechukua hatua madhubuti katika kuunda mustakabali wa malipo ya kidijitali kwa kuzindua ‘Lipa ChapChap’, suluhisho la malipo yasiyotumia fedha taslimu linalorahisisha miamala kwa wafanyabiashara na wateja binafsi. Zaidi ya kuwa huduma mpya, ...
Load More