Rais Samia atoa bilioni 5 kuboresha Chuo cha Uhamiaji cha TRITA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa Shilingi bilioni 5.2 kwa Idara ya Uhamiaji kwa ...
Tanzania na Uganda zathibitisha dhamira ya kuendeleza ushirikiano
Tanzania na Uganda zimethibitisha tena dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa uwili, kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya pamoja, na kuibua maeneo mapya ya ushrikiano. Akifungua kikao cha Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano ...Kaburi ndani ya nyumba lakutwa na mwili unaoaminika ni wa mwanamke aliyepotea Desemba 2025
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamtafuta mtuhumiwa wa mauaji ya Lillian Daniel (27), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Changalawe wilayani Kilosa. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema marehemu alikuwa na uhusiano na mtuhumiwa anayetafutwa, ...Mjumbe maalum wa UN aipongeza Tanzania kwa juhudi za kurejesha amani
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU), Parfait Onanga Anyanga, ambaye ni Mjumbe Maalum wa Antonio Guterres, ...Wastani wa kodi kwa Kaya nchini wafikia shilingi milioni 1.8 kwa mwaka
Makadirio yanaonesha kuwa wastani wa mzigo wa kodi kwa kaya nchini Tanzania umefikia takribani shilingi milioni 1.84 kwa mwaka, sawa na karibu shilingi 154,000 kwa mwezi kwa kuzingatia makadirio ya jumla ya mapato ya kodi ya ...Gwajima: Si rahisi kufikia usawa wa kijinsia bila mchango wa TANESCO
Kuelekea Siku ya Wanawake Dunia Machi 8,2026, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima amesema siyo rahisi kufikia usawa wa kijinsia na mustakabali endelevu wa wanawake bila mchango wa TANESCO. ...
Load More









