Orodha 10 ya wasanii Afrika wanaotazamwa zaidi Youtube

0
60

Mtandao wa YouTube ndio unaoongoza kwa wasanii dunia kupakia video zao kwa ajili ya kutazamwa na mashabiki wao, lakini kama njia ya kujipatia kipato.

Je! Unawajua wababe 10 wa Kusini mwa Jangwa la Sahara waliotazamwa mara nyingi zaidi katika mtandao huo?

Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania anasalia kuwa msanii wa Kiafrika ambaye ametazamwa zaidi kupitia mtandao wa Youtube akitazamwa zaidi ya mara bilioni 2 akifuatiwa na Burna Boy kutoka Afrika ya Magharibi nchni Nigeria.

Hii ni Orodha ya wasanii wa Kusini mwa Jangwa la Sahara ambao wametazamwa zaidi katika mtandao wa Youtube.

 

1.       Diamond Platnumz- 2.14B

2.       Burna Boy- 2.05B

3.       Wizkid- 1.67B

4.       Fally Ipupa – 1.40B

5.       Davido- 1.29B

6.       Ckay- 1.15B

7.       Flavour- 1.10B

8.       Psquare – 1.09B

9.       Rema – 1.06B10.

10.     Tekno- 964M

Kutazamwa huku kuna tafsiri ukubwa wa kiwango cha fedha ambacho msanii anaingiza kupitia mtandao huo.