Rais Magufuli atengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndungulile

0
19

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Godwin Mollel (Mbunge wa Siha) kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.


Uteuzi wa Dkt. Mollel unaanza leo Mei 16, 2020.

Dkt. Mollel anachukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile (Mbunge wa Kigamboni) ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Send this to a friend