Orodha ya nchi 10 zenye amani zaidi Kusini mwa Jangwa la Sahara

0
39

Kipimo cha Amani Duniani, Global Peace Index (GPI) kimetaja Mauritius, Ghana na Gambia kama nchi tatu za juu zenye amani mwaka 2022 zaidi Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Ripoti hiyo imeeleza uchanganuzi wa kina zaidi kuhusu mwenendo wa amani, thamani yake ya kiuchumi, na jinsi ya kuendeleza jamii zenye amani.

Wajua si kosa trafiki anapokuomba leseni hapo hapo ukawa huna

Licha ya Tanzania kuaminika kuwa ‘kisiwa cha amani,’ haipo miongoni mwa nchi hizo 10, kwani inashika nafasi ya 16.

Hii ni orodha ya nchi 10 zenye amani zaidi Kusini mwa Jangwa la Sahara.

1.Mauritius, alama 28

2.Ghana, alama 40

3.Gambia, alama 45

4.Botswana, alama 48

5.Sierra Leone, alama 50

6.Zambia, alama 56

7.Guinea ya Ikweta, alama 59

8.Malawi, alama 65

9.Namibia, alama 68

10.Senegal, alama 70

Send this to a friend