Wakati mzuri wa kunywa maji kwa siku

0
109

Kunywa maji ni tendo ambalo watu wengi hulifanya pale wanapohisi kiu. Wengine hutumia vinywaji mbalimbali kama vile sharubati au soda ili kutuliza kiu, lakini wataalamu wanashauri matumizi ya maji kwa kutuliza kiu yako.

Lakini Je! Unafahamu kuwa kuna wakati ambao si sahihi kunywa maji?

Send this to a friend