Nchi 9 za Afrika zilizotembelewa na watalii wengi zaidi mwaka 2022

0
27

Afrika ni bara zuri na lenye historia za asili na za kusisimua, ambapo mamilioni ya wageni hutembelea kila mwaka.

Bara hili limejaa sehemu za kitalii ambazo huvutia wageni wengi kutoka sehemu nyingi ulimwenguni. Wageni mara nyingi hufurahishwa na historia ya Kiafrika, tamaduni, mila, vyakula na zaidi ya yote uzuri wa asili kwenye bara hili la pili kwa ukubwa duniani.

Hizi ni nchi za Afrika zilizoongoza kutembelewa na watalii mwaka 2022;

1. Misri: milioni 11.7

2. Morocco: milioni 10.9

3. Tunisia: milioni 6.437

Nchi 10 za Afrika zinazodaiwa zaidi na China

4. Afrika Kusini: milioni 5.7

5. Kenya: milioni 1.48

6. Tanzania: milioni 1.454

7. Rwanda, Mauritius : milioni 1

8. Zimbabwe: 895,338

Send this to a friend