Nyimbo 10 za Tanzania zinazotazamwa zaidi YouTube Agosti 2023

0
36

Soko la muziki wa Tanzania limeendelea kufanya vizuri kutokana na mwitikio wa mashabiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Mitandao imewasaidia wasanii wa Tanzania kufikisha muziki wao sehemu mbalimbali duniani lakini pia kuitangaza nchi kwa ujumla na kuongeza pato lao na pato la nchi hasa kupitia mtandao wa YouTube unaoendeleza kazi zao.

Hii ni orodha ya nyimbo zinazotazamwa mara nyingi zaidi katika mtandao wa YouTube zilizotolewa ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kuanzia August 2023;

1. Zuchu – Honey (milioni 11)
2. Diamond Platnum ft Koffi Olomide (milioni 9.5)
3. Harmonize ft Ruger – Single (milioni 3.1)
4. Zabron Singers – Uko Single? (milioni 2.5)
5. Ali Kiba – Mnyama (milioni 2.4)
6. Marioo ft Ali Kiba- Love Song (milioni 2.1)
7. Founder Tz – Nitatokaje (milioni 1.9)
8. Harmonize – Tena (milioni 1.9)
9. Harmonize – Hawaniwezi (milioni 1.8)
10. Jay Melody – Mbali Nawe (milioni 1.5)

Send this to a friend