Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Darasa la Saba kwa mwaka 2024, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu kwa kupata madaraja A,B na C.