VODACOM YAWAJENGEA UWEZO WA TEHAMA WANAFUNZI WA KIKE MKOANI DODOMA KUPITIA PROGRAMU YA ‘CODE LIKE A GIRL’

0
22

Meneja Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania PLC Kanda ya Kati, Latifa Salum (kushoto) akimkabidhi zawadi ya begi mwanafunzi wa shule ya sekondari Mnadani, Swaibath Abdalah kwa kufanya vizuri kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo wanafunzi wa kike katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) kupitia programu ya Code like a Girl yaliyofanyika Chuo kikuu cha UDOM Jijini Dodoma mwishoni mwa wiki kwa ufadhili wa kampuni ya Vodacom.

Meneja Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania PLC Kanda ya Kati, Latifa Salum (kushoto) akimkabidhi cheti mwanafunzi wa shule ya Sekondari Mnadani, Salma Hassan kwa kushiriki na kufuzu mafunzo ya kuwajengea uwezo wanafunzi wa kike katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati kupitia programu ya Code like a Girl yaliyofanyika Chuo kikuu cha UDOM Jijini Dodoma mwishoni mwa wiki kwa ufadhili wa Vodacom.

Meneja Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania PLC Kanda ya Kati, Latifa Salum (kushoto) akimkabidhi cheti mwanafunzi kiziwi wa shule ya sekondari Nkuhungu, Helen Noah kwa kushiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo wanafunzi wa kike katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) kupitia programu ya Code like a Girl yaliyofanyika Chuo kikuu cha Udom Jijini Dodoma mwishoni mwa wiki kwa ufadhili wa Vodacom.

 

Send this to a friend