
Waziri TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema wanafunzi 149,818 wakiwemo wasichana 76,491 na wavulana 73,327, sawa na asilimia 69.96 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya Kidato cha Tano.
Hii ni orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati.
https://selform.tamisemi.go.tz/content/selection-and-allocation/2025/first-selection/index.html