
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu maeneo yenye njaa kali (UN Hunger Hotspots) imeonyesha uhaba mkubwa wa chakula barani Afrika.
Ripoti hiyo inaeleza kuwa migogoro ya kivita barani Afrika, ukame, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi vimepunguza kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa chakula kwenye maeneo yaliyo hatarini.
Nchi za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wasio na uhakika wa chakula;
Nigeria: Milioni 30.6 (kati ya milioni 237.5)
DRC: Milioni 27.7 (kati ya milioni 112.6)
Sudan: Milioni 24.6 (kati ya milioni 51.6)
Sudan Kusini: Milioni 7.7 (kati ya milioni 12.1)
Somalia: Milioni 4.6 (kati ya milioni 19.6)
Chanzo: Business Insider






