Aina ya kozi za kusoma zitakazokuwezesha kupata ajira kwa urahisi

0
48

Tatizo la kupata ajira barani Afrika linazidi kuwa kubwa kwa wahitimu wengi wanaomaliza vyuo vikuu na vyuo vya kati, hali inayofanya kuongezeka kwa wimbi la vijana wasiokuwa na ajira mitaani.

Lakini wakati mwingine ukosefu wa ajira hutokana na kozi ambazo mhusika ameasoma. 

Katika video hapa chini tumekuletea baadhi ya kozi zitakazokupa ajira unapomaliza masomo yako, zinazojumuisha viwango vya Mapato pamoja na uhitaji wake katika jamii.

Send this to a friend