Aliyekuwa kiongozi wa CUF ateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya

0
45

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Julius S. Mtatiro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma.

Bw. Mtatiro anachukua nafasi ya Bw. Juma Zuberi Homera ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi.

Uteuzi wa Bw. Mtatiro unaanza leo tarehe 14 Julai, 2019.

Send this to a friend