Aliyepiga TZS Milioni 26 za Meridianbet Apatikana

0
34

Aliyepiga Tsh Mil 26 za Meridianbet Apatikana

Jisajili Meridianbet leo upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo uupendao ya kasino ya mtandaoni kuna Aviator, Poker, Titan Roulette na mingine mingi. Kujisajili bonyeza hapa https://a.meridianbet.co.tz/c/TRqTCA

 Unaweza kusema mengi lakini haitoshi kumaliza kila kitu, ndoto huwa kweli pale tu unapoishirikisha Meridianbet kwa sababu wanakupa unachokitaka. Machaguo mengi yenye odds kubwa yamemfanya kijana huyu wa Kitanzania kutimiza malengo yake ni baada ya kupiga mkwanja mrefu zaidi ya Tsh Milioni 26 kwa dau dogo la Elfu Ishirini. 

Utajiuliza ilikuaje yakawezekana ni biashara gani aliifanya ikampatia faida kubwa kiasi hicho kwa muda mfupi, jibu ni Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni walitimiza ndoto za kijana huyo aliyekataa kutajwa jina lake akihofia mizinga ya wat una usalama wake pia.

 Kutoka ulimwengu wa odds kubwa Meridianbet Tanzania, mwamba ametambulishwa kama mshindi mkubwa wa kiasi cha Tsh 26,997,852/= (Milioni Ishirini na Sita Laki tisa na Elfu Tisini na Saba Mia Nane Hamsini na Mbili), huu ni ushindi mkubwa katika Maisha yake tangu aanze kubashiri na Meridianbet kama alivyosema.

“Tangu nimeanza kubashiri kupitia Meridianbet nilikuwa Napata kiwango cha kawaida lakini leo nadhani ilikuwa ni bahati kwangu, niliamua kuweka Tsh 20,840/= na timu zangu kumi, kila moja niliipa machaguo tofauti kwa kuwa Meridianbet wanatoa machaguo tofauti kwenye mechi moja” Mshindi wa Mil 26 TZS.

Ushindi huu ni kawaida sana kuupata Meridianbet kwa sababu kila siku washindi wapya wanashinda kwenye kasino ya mtandaoni na ubashiri wa soka, ukiweka odds kubwa unajiweka kwenye nafasi ya kushinda Zaidi, kwa sababu hata Mfalme huyu wa kubashiri soka alitengeneza mkeka wenye odds kubwa ya 1439 na akashinda.

Maisha ni rahisi kama tu utaichagua Meridianbet sehemu pekee inayokupa machaguo bora kila mechi, unaweza kuturbo/ Cash Out, odds kubwa na mengine kibao, lakini bila kusahau kuna Jackpoti kubwa kabisa ya Tsh Mil 85,000,000/= kwa timu 13, endapo ikatokea umechana tiketi yako kwa timu moja au mbili unalipwa kuanzia 500,000/= TZS-10,000,000/= TZS PIGA *149*10#

 

Send this to a friend