Bei mpya za mafuta kwa mikoa yote kuanzia Oktoba 5, 2022

0
43
Bei ya mafuta zilizotolewa na EWURA kwa Oktoba 2022 zimeshuka baada ya ruzuku ya Serikali, ambapo petroli imetoka TZS 2,969 hadi TZS 2,886.
 
Wakati huo huo, bei ya dizeli imeshuka kutoka TZS 3,125 hadi TZS 3,083 na mafuta ya taa yameshuka kutoka TZS 3,335 hadi TZS 3,275.

[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/10/Cap-Prices-for-Petroleum-Products-wef-5-October-2022-Kiswahili.pdf”]

Send this to a friend