Benki ya NCBA yakutanisha wafanyakazi wake wote kuhamasisha ufanisi

0
47

Benki mpya ya NCBA yakutanisha wafanyakazi wao wote nchini ili kuhamasisha ufanisi wa kujenga benki imara na yenye tija kwao na wadau wote Tanzania

Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa NCBA Bank Tanzania Limited, Margaret Karume (kushoto) na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa, Wateja Binafsi na Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati, Gift Shoko wakizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo mpya kote nchini kwenye hafla ya kutambulishana kwa wafanyakazi na viongozi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ili kuhamasisha ufanisi wa kujenga benki imara na yenye tija kwao na wadau wote.
Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa NCBA Bank Tanzania Limited, Margaret Karume akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo mpya kote nchini  kwenye hafla ya kutambulishana kwa wafanyakazi na viongozi iliyofanyika jijini Dar Es Salaam ili kuhamasisha ufanisi wa kujenga benki imara na yenye tija kwao na wadau wote.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki mpya ya NCBA wakimsikiliza Afisa Mtendaji mkuu wao, Margaret Karume kwenye hafla ya kuwakutanisha wafanyakazi wa benki hiyo wote nchini iliyofanyika jijini Dar Es Salaam
Send this to a friend