Betika yaja na kampeni kubwa ya Mtoko wa Kibingwa Msimu wa Tano

0
71

Ikiwa ni msimu wa tano wa kampeni kubwa inayoendeshwa na Kampuni ya kubashiri ya Betika inayojulikana kama kampeni ya Mtoko wa Kibingwa, sasa wameinogesha kampeni hiyo kwa kuja na ‘Mtoko wa Kibingwa Msimu wa Tano, Haina Mbambamba.’

Kampuni ya Betika ni kampuni ya kwanza na ya kipekee ambayo imetengeneza kampeni inayowakutanisha mabingwa 100 pamoja jijini Dar es Salaam ambao ni mashabiki na wapenda burudani hususani katika sekta ya michezo ya kubashiri kutoka mikoa yote Tanzania na kuwapa huduma ya KI-VIP.

Wakati kampeni ya Betika ikisherehekea Derby ya tatu kwa ukubwa barani Afrika, Simba na Yanga Aprili 16, 2023, mabingwa 100 kutoka mikoa mbalimbali Tanzania watawezeshwa kuja Dar es Salaam kwa usafiri wa ndege kwenda na kurudi na kufikia kwenye hoteli ya nyota tano, kisha watashiriki kwenye pre-party itakayofanyika katika sehemu ya kifahari jijini Dar es Salaam.

 Meneja Mkuu wa kampuni ya Betika Tanzania, Tumaini Maligana

Aidha, washindi watashiriki mtoko utakaohusisha uchambuzi wa soka pamoja na kushuhudia mechi ya Simba na Yanga ambapo watapelekwa uwanjani kwa msafara na king’ola pamoja na kukaa KI-VIP uwanjani.

Afisa Habari wa Kampuni ya Betika Tanzania, Rugambwa Juvenalius Pius

Ili kuwa mmoja kati ya mabingwa katika droo 10 za washindi kila wiki, unapaswa kujisajili na Betika kisha weka ubashiri wako wenye beti 5, yaani mikeka mitano yenye dau la 500 na kuendelea kwa kila mkeka. Unaweza kubashiri katika ligi mbalimbali ikiwemo EPL, LaLiga, Bundesliga, Serie A na Ligi ya Tanzania ikiwemo Simba na Yanga.

Unatakiwa kubeti kupitia tovuti ambayo ni www.betika.co.tz au menu ya kubeti ambayo ni *149*16#.

 

Send this to a friend