Bodaboda Jijini Dar es salaam Wafikiwa na Meridianbet

0
49

Meridianbet inazidi kutanua wigo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam kwa kuwafikia wale ambao wana uhitaji mkubwa ambapo bodaboda kutokana na shughuli zao za kila siku kuna mambo mengi watayahitaji zikiwemo reflectors ambazo zitawaidia wanapoendesha pikipiki.

Na kwa kuona hilo bwana Martina ambaye ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko Meridianbet aliona kuwa uhitaji umekuwa mkubwa kwa bodaboda wa hapa jijini Dar es salaam hivyo wakaona kuwa wawarudie tena kwa mara nyigine. Reflectors hizo zitawasaidia kwa namna moja au nyingine wakiwa wanaendesha chombo hicho.

Akiongea na waandishi wa Habari mkuu wa kitengo hicho ndani ya Meridianbet Martina Nkurlu anbaye alikuwa ameongozana na timu yake nzima ya Meridianbet ndiye hasa aliyekuja na jina la “ Mtaa kwa Mtaa na Meridianbet” na amesema kuwa wameamua kushirikiana na jeshi la polisi la usalama barabarani kutoa elimu ya usalama barabani na kugawa reflectors kwa madereva wa bodaboda.

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Na sababu yakufanya hivyo haswa ni kwakuwa dereva bodaboda ndio wanaongoza kupata ajali sana hasa nyakati za usiku ndio maana wameona kuna haja ya kugawa refletors kwa madereva hao waliopo jijini Dar es salaam.

Na haya ni baadhi ya maeneo ambayo wamepita na kutoa refletors hizo ni pamoja na Kawe, Kinondoni, Sinza, Mwenge na Tangibovu, vilevile wameongeza kwa kusema kuwa wanapanga mkakati mzuri wa kuwafikia bodaboda wote wa jiji hili la Dar es salaam ili wanufaike na Meridianbet.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

“Meridianbet tuna msemo wetu wa CHAGUA TUKUPE, huu ni maalum kwa wateja wetu wote kuwa tunawapatia kile wanachotaka, baada ya kusikia kilio cha madereva hawa wa Bodaboda tumeamua kuwapatia Reflectors hizi maalum kwaajili yao kujikinga na majanga ya barabarani kama ajali lakini pia ni kuimarisha usafi na utanashati wao binafsi” Alisema Martina Nkurlu.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Send this to a friend