Afya
WHO yasema zaidi ya milioni 10 wanaweza kuambukizwa HIV baada ya Marekani kusitisha misaada
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha uwezekano wa maambukizi mapya ya HIV zaidi ya milioni 10 na vifo vya watu milioni 3, ...Kulala chini ya saa 7 huchochea magonjwa ya moyo
Kulala ni moja ya mahitaji muhimu ya mwili, sawa na chakula na maji. Watu wengi wanadharau usingizi kwa sababu ya ratiba ngumu ...Serikali yatangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Marburg nchini
Wizara ya Afya imetangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Virusi vya Marburg (MVD) nchini . Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya imesema wagonjwa ...Mwanaume aishi siku 100 akiwa na moyo bandia
Mwanaume mmoja wa Australia ameishi kwa siku 100 na moyo bandia wa titani wakati akisubiri upandikizaji wa moyo kutoka kwa mfadhili, na ...Serikaali yatoa mwongozo kwa wasafiri kufuatia uwepo wa Mpox nchini
Kufuatia serikali kutangaza uwepo wa ugonjwa wa Mpox nchini, Wizara ya Afya imesema imeanza kutekeleza afua za afya ili kuweza kuzuia kuenea ...