Afya
Idadi ya wagonjwa wa figo Muhimbili yazidi kuongezeka
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku ...Watumishi wa afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla ...Polisi washikiliwa kwa kuuza pombe haramu na kuua watu 17
Katika kisa kilichoshangaza katika eneo la Kirinyaga nchini Kenya, watu 17 wamepoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu ambayo inadaiwa waliuziwa na ...TNA: Wagonjwa wa kifafa wasipelekwe kwa waganga wa kienyeji
Chama cha Wanasayansi wa Magonjwa ya Mishipa ya Fahamu Tanzania (TNA), kimesema asilimia 75 ya watu wenye kifafa hupelekwa kwanza kwa waganga ...P2 inavyosababisha madhara kwenye hedhi na mifupa
Serikali imewataka wananchi na viongozi kwa ujumla kuhamasisha matumizi sahihi ya P2 kwa wasichana yanayozingatia ushauri wa wataalam ili kuepuka madhara yanayosababishwa ...Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa Red Eyes
Wizara ya Afya imewaasa wananchi kuacha tabia ya kutumia dawa za macho zisizo rasmi kwa lengo la kutibu ugonjwa wa macho mekundu ...