Afya
Mwigulu aishauri serikali isitangaze visa vipya wa corona
Mbunge wa Iramba, Mwigulu Nchemba ameishauri serikali kutotangaza visa vipya vya maambukizi ya virusi vya corona, kwa kile alichobainisha kuwa baadhi ya ...Corona: Marekani yasitisha ufadhili kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa amewaagiza maafisa wa serikali kusitisha ufadhili wa nchi hiyo kwa Shirika la Afya Duniani (WHO). ...Shule, vyuo kuendelea kufungwa, wagonjwa wa corona waongezeka
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vyote vya elimu ya kati na ...Afya: Nafasi ya vitamini C katika kukukinga dhidi ya corona
Wakati dunia ikiendelea na mapambano dhidi ya mlipuko wa virusi vya corona, watu wameendela kuchukua tahadhari mbalimbali kujikinga dhidi ya maambukizi ya ...Wanasayansi wa Uingereza kukamilisha chanjo ya Corona mwezi Septemba
Wakati jitihada mbalimbali zikiendelea kuchukuliwa kukabilia na mlipuko wa virusi vya corona, wanasayansi wameeleza kuwa chanjo ya virusi hivyo inaweza kuwa imepatikana ...