Afya
Msimamizi wa upimaji virusi vya Corona Kenya ashushwa cheo
Kushushwa cheo kwa mtaalamu aliyekuwa anahusika na upimaji wa sampuli za virusi vya corona nchini Kenya kumeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wafanyakazi ...Wagonjwa walazimisha kutoka Hospitali ya Amana
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, amethibitisha kuwa baadhi ya wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam, Amana, walitaka ...Corona: Rais Magufuli asema Dar es Salaam haitofungwa (lockdown)
Rais Magufuli amesema Serikali haitawafungia wananchi majumbani (lockdown) wala kulifunga Jiji la Dar es Salaam kama ambavyo baadhi ya watu wamependekeza, ili ...Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka Watanzania kuiamini serikali vita ya corona
Wakati hatua mbalimbali zikiendelea kuchukuliwa, waziri mkuu amewasihi Watanzania kuiamini serikali pamoja na watalamu wa afya katika mapambano dhidi ya homa ya ...Corona: RC Songwe wataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya wageni kutoka Dar na Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Songwe amewataka wananchi wote wa mkoani humo kuchukua tahadhari kwa kuwa kumekuwa na wageni wengi wanao ingia Songwe ...