Afya
Wizara ya afya Tanzania yaandaa maombi maalum dhidi ya janga la corona
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kesho Aprili 22, 2020 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maombi maalum ya kuliombea taifa dhidi ya ...Mbunge wa Tanzania akutwa na maambukizi ya corona
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt Tulia Ackson, ametangaza kuwa mmoja wa wabunge wa bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya ...Mwandishi wa Tanzania Daima afungiwa kwa kusambaza taarifa za mgonjwa wa corona
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Talib Hamad amesimamishwa kufanya shughuli za ukusanyaji, usambazaji au shughuli yoyote ya uandishi wa ...Coronavirus Kenya: Nane watengeneza msiba feki kuikimbia Nairobi
Kundi la watu nane ambao ni waombolezaji feki wanashikiliwa na polisi nchini Kenya kwa kudanganya kuwa walikuwa wanakwenda msibani, lengo lao likiwa ...Waathirika wa corona Tanzania wafikia 170
Wizara ya Afya visiwani Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 23 wenye maambukizi ya virusi vya corona, hivyo kufanya idadi ya visa ...