Afya
Sekta binafsi Tanzania inavyosaidia kupambana na homa ya kirusi cha Corona
Katika siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona. Wiki ...Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Hatujazuia ibada ili waumini waliombee taifa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali haijazuia watu kwenda kwenye nyumba za ibada kusalia, ili waumini watumie ibada hizo kuliombea taifa. ...Mwigulu aishauri serikali isitangaze visa vipya wa corona
Mbunge wa Iramba, Mwigulu Nchemba ameishauri serikali kutotangaza visa vipya vya maambukizi ya virusi vya corona, kwa kile alichobainisha kuwa baadhi ya ...