Afya
Dkt. Mollel: Serikali inalifanyia kazi suala la sheria kuruhusu utoaji mimba
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa, matatizo yatokanayo na utoaji mimba ni moja ya sababu inayochangia vifo ...Fanya mambo haya 8 kuepuka saratani ya shingo ya kizazi
Saratani ya shingo ya kizazi ni aina ya saratani inayotokea katika sehemu ya chini ya mfuko wa uzazi au mlango wa kizazi. ...Wapona Selimundu baada ya kupandikiza Uloto Hospitali ya Benjamini Mkapa
Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma imeandika historia ya watoto watatu kupona ugonjwa wa Sikoseli baada ya kuwafanyia matibabu ya upandikizaji wa ...Watumishi wa afya wapigwa marufuku kuchati kazini
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu amewapiga marufuku watumishi wa afya katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini kuchati wakiwa ...Tanzania na China kuanzisha mfumo wa upatikanaji wa vifaa tiba vya matibabu ya moyo
Nchi za Tanzania na China zimekubaliana kuanzisha mfumo wa wa pamoja wa upatikanaji wa vifaa tiba vinavyotumika kutoa huduma za matibabu ya ...Malawi yaondoa zuio la mahindi kutoka Tanzania
Serikali ya Malawi imeondoa zuio la mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo, zuio ambalo liliwekwa kwa kile walichosema kuwa ni kutokana na ...