Afya
Tanzania yapeleka madaktari bingwa wa moyo Zambia
Serikali imetuma madaktari bingwa 12 kwenda nchini Zambia kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo kwa watoto ikiwa ni sehemu ya ...Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Red Eyes
Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya ...DCEA yapongezwa ukamataji wa dawa za kulevya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kufuatia ukamataji wa dawa za kulevya zaidi ...Watanzania 22,000 walifariki kwa UKIMWI 2023
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kwa mwaka 2023 kufikia vifo 22,000, ikilinganishwa na vifo 29,000 vilivyotokea ...Rais Samia: Tusipochangia huduma za matibabu, huduma zitarudi nyuma
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi kuchangia gharama za matibabu kwa kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anakuwa na bima ya afya ...Kwanini watu wengi wanapata maumivu ya kichwa mara kwa mara?
Siku hizi watu wengi hususani ni vijana, wanalalamika kupata maumivu ya kichwa, uchovu wa macho, kuona giza, kuhisi uchovu na mengineyo mengi. ...