Afya
Watanzania 22,000 walifariki kwa UKIMWI 2023
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kwa mwaka 2023 kufikia vifo 22,000, ikilinganishwa na vifo 29,000 vilivyotokea ...Rais Samia: Tusipochangia huduma za matibabu, huduma zitarudi nyuma
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi kuchangia gharama za matibabu kwa kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anakuwa na bima ya afya ...Kwanini watu wengi wanapata maumivu ya kichwa mara kwa mara?
Siku hizi watu wengi hususani ni vijana, wanalalamika kupata maumivu ya kichwa, uchovu wa macho, kuona giza, kuhisi uchovu na mengineyo mengi. ...Serikali yanunua vifaa tiba vya bilioni 14.9 kwa ajili ya majimbo yote 214
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imetoa fedha za nyongeza TZS bilioni 14.9 mwezi Novemba, 2023 ...Daktari: Mwanaume akiingia leba inamsaidia mkewe kujifungua salama
Wanaume wameshauriwa kushiriki kuwasaidia wake zao katika mchakato wa kujifungua kwa kuwa uwepo wao unasaidia kupunguza kwa asilimia kubwa maumivu ya uchungu ...Madhara watakayopata wanaotumia limao, flagly kukata hedhi
Hedhi hutokea kila mwezi kama sehemu ya mzunguko wa kawaida wa kibaiolojia wa mwanamke. Kwa kawaida hudumu kwa siku 3 hadi 7, ...