Afya
Mbeya yafunga mashine za ‘ATM’ za kujipima UKIMWI
Katika kudhibiti maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI, Mkoa wa Mbeya umefunga mashine maalum ambazo zinaruhusu watu kujipima VVU kwa hiari yao. ...Mkurugenzi Ilemela: Hakuna wajawazito wanaojifungulia chini Buzuruga
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, Wakili Kiomoni Kibamba amesema hakuna wajawazito wanaojifungulia chini katika Kituo cha Afya cha Buzuruga mkaoni ...Ajifanya daktari na kuwafanyia wagonjwa upasuaji wa mabusha
Jeshi la Polisi wilayani Ludewa mkoani Njombe linamshikilia Abdallah Athumani (43), mkazi wa Kijiji cha Mapogolo kwa tuhuma za kutoa matibabu kwa ...Dawa za uchungu za mitishamba zinavyoongeza vifo vya wajawazito
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dkt. Thomas Rutachuzibwa ameseama matumizi ya dawa za mitishamba kwa ajili ya kuongeza uchungu kwa akina ...Daktari: Talaka chanzo cha ugonjwa wa akili kwa wanawake
Daktari wa Afya ya Akili katika Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidingo Chekundu Zanzibar, Khadija Omar amesema wimbi la talaka nchini linapelekea ...Ajifanya askari polisi na kulawiti watoto 15 Iringa
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia dereva wa bajaji anayetambulika kwa jina la Alex Msigwa, kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto ...