Afya
Wakazi 30,000 wa Dar na Mwanza wanaugua Saratani
Takribani asilimia 3.75 ya watu waliopimwa saratani chini ya Mradi Mtambuka wa Saratani Tanzania (TCCP) wamegundulika kuwa na ugonjwa huo, jambo ambalo ...Mwanamke wa miaka 70 ajifungua mapacha
Mwanamke mmoja kutoka nchini Uganda mwenye umri wa miaka 70 amejifungua mapacha baada ya kupata ujauzito kupitia matibabu ya kupandikiza (IVF), na ...Petroli inavyoathiri watoto wadogo wanaopakizwa kwenye bodaboda
Kupakia watoto chini ya umri wa miaka tisa kwenye pikipiki peke yao ni hatari inayozidi kuongezeka na inayozua wasiwasi kuhusu usalama wao ...Maeneo 8 ya uwekezaji yenye kuzalisha faida zaidi Tanzania
Tanzania imefungua milango yake wazi kwa wawekezaji wanaotamani kunufaika na uwekezaji wao na pia kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Taarifa ...Ugonjwa usiojulikana waua 12 Uganda
Wataalamu wa afya nchini Uganda wanachunguza mlipuko wa ugonjwa usiojulikana ambao umeua takribani watu 12 katika kipindi cha wiki mbili zilizopita katika ...Serikali: Mjamzito akifariki kwa uzembe Mganga Mkuu wa Mkoa, Wilaya ni watuhumiwa
Serikali imesema matatizo yanapotokea katika sekta ya afya ikiwemo daktari kufanya uzembe, watu wengine watakaokuwa watuhumiwa ni waganga wakuu wa wilaya na ...