Afya
Maeneo 8 ya uwekezaji yenye kuzalisha faida zaidi Tanzania
Tanzania imefungua milango yake wazi kwa wawekezaji wanaotamani kunufaika na uwekezaji wao na pia kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Taarifa ...Ugonjwa usiojulikana waua 12 Uganda
Wataalamu wa afya nchini Uganda wanachunguza mlipuko wa ugonjwa usiojulikana ambao umeua takribani watu 12 katika kipindi cha wiki mbili zilizopita katika ...Serikali: Mjamzito akifariki kwa uzembe Mganga Mkuu wa Mkoa, Wilaya ni watuhumiwa
Serikali imesema matatizo yanapotokea katika sekta ya afya ikiwemo daktari kufanya uzembe, watu wengine watakaokuwa watuhumiwa ni waganga wakuu wa wilaya na ...Serikali yachukua kifo cha mama mjamzito na mtoto, watatu wasimamishwa
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amelielekeza Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania (TNMC) kuhakikisha ndani ya ...Tamko la Wizara ya Afya ufaulu wa mitihani ya madaktari watarajali
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amelielekeza Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) kuendelea kuendesha mitihani yote ya kabla ya utarajali (pre- internship examination) ...