Afya
Vifo vya uzazi nchini vimepungua kwa asilimia 80
Rais Samia Suluhu Hassan amesema vifo vinavyotokana na uzazi kwa akina mama vimepungua kutoka vifo 530 kwa kila vizazi hai 100,000 mwaka ...Mtaalamu: Hakuna majibu ya Malaria 1, 2 au 3, wataalamu wanakiuka
Ofisa Mteknolojia wa Maabara kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Peter Torokaa amesema hakuna majibu ya ...Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto
Jeshi la Polisi linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) mkazi wa Kijiji cha Mnete, kilichopo Kitongoji cha Chiano, Kata ya Nalingu, ...COSTECH yaja na bunifu za kusaidia katika matibabu
Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imesema miradi ya kimkakati ya Serikali chini ya tume hiyo inalenga kuipunguzia serikali gharama ...Watano wajitokeza kurekebisha maumbo Muhimbili
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Prof. Mohammed Janabi amesema hospitali hiyo imepokea watu watano waliojitokeza kujisajili ili kupata huduma ya ...