Afya
COSTECH yaja na bunifu za kusaidia katika matibabu
Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imesema miradi ya kimkakati ya Serikali chini ya tume hiyo inalenga kuipunguzia serikali gharama ...Watano wajitokeza kurekebisha maumbo Muhimbili
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Prof. Mohammed Janabi amesema hospitali hiyo imepokea watu watano waliojitokeza kujisajili ili kupata huduma ya ...Upasuaji wa kurekebisha ‘shape’ Mlongazila kuanza Oktoba 27
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imetangaza kuanza zoezi la upasuaji wa kibingwa kwa ajili ya kupunguza uzito na upasuaji shirikishi (Cosmetic Surgery na ...TTB: Hatujamtuma Mwijaku kutangaza utalii Ujerumani
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema haijamtumia wala kumtuma mtangazaji na mwigizaji, Mwemba Burtony maarufu kama Mwijaku nchini Ufaransa kutangaza utalii mitaani, ...Mambo 6 ya kuzingatia kwa wanawake wenye zaidi miaka 40
Mwanamke anapofikisha miaka 40, ni muhimu kuzingatia afya ya mwili, afya ya akili, na afya ya uzazi kwani umri huo na kuendelea ...