Afya
Wagonjwa wenye matatizo ya afya ya akili waongezeka kwa kasi
Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Mwananyamala imeripoti ongezeko la wagonjwa wa matatizo ya afya ya akili kutoka wastani wa watu watano ...Daktari akamatwa kwa kuiba figo za wagonjwa
Watu nane akiwemo daktari wamekamatwa nchini Pakistan wakijihusisha na mtandao wa uhalifu ambao wakati mwingine wamekuwa wakiiba figo za watu bila ya ...Nyota wa MTV afariki baada ya kufanya ‘plastic surgery’
Ripoti ya Mkaguzi wa Matibabu nchini Marekani imebainisha kuwa kifo cha nyota wa MTV na mwigizaji, Jacky Oh (33) aliyefariki Mei 31 ...Denmark kushitakiwa kwa kuwafunga wanawake vizazi bila ridhaa yao
Makumi ya wanawake wa Greenland wanapanga kuishtaka Serikali ya Denmark kwa kile walichodai waliwekewa koili ya kuzuia mimba bila idhini yao katika ...Hospitali ya Temeke yaondoa viungo vya uzazi vya kike kwa mgonjwa mwenye jinsia mbili
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imefanya upasuaji wa kutoa viungo vya uzazi vya kike kutoka kwenye korodani ya mgonjwa wa jinsia ...Utafiti: Kahawa, chai nyingi kwa mjamzito husabababisha kujifungua kabla ya wakati
Utafiti uliochapishwa katika Jarida la Kimataifa la Epidemiology umebaini kwamba unywaji wa kafeini nyingi na uvutaji wa sigara kwa mama mjamzito ni ...