Afya
Wawili wabainika kuwa na ugonjwa wa Mpox nchini
Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wawili wenye maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara. ...Utafiti waonesha vijana wa Kitanzania wanaongoza kwa ustahimilivu wa akili
Utafiti mpya wa Mental State of the World 2024, uliotolewa na Sapien Labs umebaini vijana wa Kitanzania wana ustahimilivu mkubwa wa kiakili ...Watu 12 waripotiwa kuambukizwa Ebola Uganda
Shirika la Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) limethibitisha ongezeko la visa 12 vya ugonjwa wa Ebola katika mikoa miwili tofauti nchini ...Serikali kuijenga upya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa trilioni 1
Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda ...Watu 25 walazwa hospitalini kwa kula kibudu cha ng’ombe
Watu ishirini na tano wamelazwa hospitalini baada ya kula nyama ya ng’ombe aliyekufa katika eneo la Masindoni, Chepalungu, Kaunti ya Bomet nchini ...Siku ya Kondomu Duniani kuadhimishwa kwa mara ya kwanza nchini
Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI Magonjwa ya Ngono na Homa ya Ini (NASHCoP), Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Shirika ...