Afya
Dar yaongoza kwa idadi ya wanaong’atwa na mbwa
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Arbogast Warioba amesema zaidi ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa ...Mjamzito afariki baada ya kuhudumiwa na daktari anayedaiwa kuwa mlevi
Baraza la Madaktari Tanganyika limesema linafanya uchunguzi wa kifo cha mama mjamzito, Dainess Masawe ambaye anadaiwa kuhudumiwa na daktari msaidizi aliyekuwa katika ...Uchunguzi: Wanawake watumia vidonge 12 vya Flagyl kuzuia mimba
Madaktari bingwa wa masuala ya uzazi wametahadharisha matumizi ya kiwango kikubwa cha dawa aina ya Flagyl (metronidazole) kama njia ya kuzuia mimba ...Waziri Ummy asema Serikali haijafuta Toto Afya Kadi
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema mpango wa bima ya afya kwa watoto wanaojiunga kwa hiari (Toto Afya Kadi) haujafutwa, bali kilichobadilika ...Daktari: Kusukutua baada ya kupiga mswaki ni hatari kwa meno
Daktari Nasriya Ali kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke amesema moja ya makosa yanayofanyika na kuchochea matatizo ya meno ni kusukutua ...Faida 10 za vitunguu maji mwilini
Matumizi ya vitunguu maji yanaweza kuwa ya kawaida kwenye mlo wako wa kila siku kutokana na kuwa kivutio kwenye chakula. Mbali na ...