Afya
Ndege yageuza safari baada ya abiria kupata ugonjwa wa kuharisha
Ndege ya Delta Airlines kutoka Atlanta kwenda Barcelona imelazimika kugeuka baada ya abiria mmoja kupata ugonjwa wa kuharisha na kusababisha harufu mbaya ...Daktari feki akamatwa Muhimbili akifanya utapeli
Hospitali ya Taifa Muhimbili imemkamata mkazi wa Mbagala mkoani Dar es Salaam aliyejitambulisha kwa jina la Mussa Mawa akijihusisha na utapeli kwa ...Aina nane za kazi zinazoongoza kuchochea msongo wa mawazo
Kazi zenye msongo wa mawazo zinaweza kutofautiana kulingana na mazingira ya kazi, utamaduni na hali ya uchumi katika maeneo tofauti barani Afrika. ...Jinsi ndege wanavyoweza kupunguza msongo wa mawazo
Ikiwa unataka kuboresha afya yako ya akili basi labda unapaswa kuanza kutenga muda kidogo kila siku kukaa na kusikiliza ndege wakilia nje ...Mtaalamu: Wanawake wanachangia ongezeko la tatizo la nguvu za kiume
Kutokana na idadi ya wanaume wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kuongezeka nchini kutokana na sababu mbalimbali zinazotajwa na wataalam ...