Afya
Mandonga afungiwa mwezi mmoja, kufanyiwa uchunguzi Muhimbili
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imesema bondia wa ngumi za kulipwa, Karim Mandonga hatoshiriki ngumi mpaka atakapopimwa afya yake baada ...Kamati yaundwa kuchunguza madaktari waliofeli mtihani
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameunda kamati huru ya uchunguzi ili kuchunguza malalamiko juu ya mitihani ya usajili iliyotolewa na wawakilishi wa ...MOI: Hatuwakati miguu bodaboda kwa makusudi
Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo (MOI), Prof. Abel Makubi amekanusha dhana iliyojengeka juu ya bodaboda kukatwa miguu wanapofikishwa hospitalini ...Waliopandikizwa uume waweza kujamiiana tena
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika amesema huduma ya kupandikiza uume kwa wagonjwa wawili waliokuwa na changamoto ya nguvu ...JKCI kuja na tiba ya upungufu wa nguvu za kiume
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kuanza kutoa tiba ya kuzibua mishipa ya uume ili kukabiliana na upungufu wa nguvu ...Fahamu magonjwa 8 yanayotibiwa kwa papai
Ulaji wa matunda si muhimu tu kwa ajili ya virutubisho mwilini, bali ni tiba inayosaidia kupambana na magonjwa mbalimbali. Moja ya matunda ...