Afya
Waliopandikizwa uume waweza kujamiiana tena
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika amesema huduma ya kupandikiza uume kwa wagonjwa wawili waliokuwa na changamoto ya nguvu ...JKCI kuja na tiba ya upungufu wa nguvu za kiume
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kuanza kutoa tiba ya kuzibua mishipa ya uume ili kukabiliana na upungufu wa nguvu ...Fahamu magonjwa 8 yanayotibiwa kwa papai
Ulaji wa matunda si muhimu tu kwa ajili ya virutubisho mwilini, bali ni tiba inayosaidia kupambana na magonjwa mbalimbali. Moja ya matunda ...Waziri Mkuu atoa siku saba TARURA, DAWASA kukamilisha barabara ya Muhimbili
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amempa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam, ...Serikali yamwajiri Mariam anayekumbatia watoto njiti
Serikali imetoa ajira ya mkataba kwa Mariam Mwakabungu anayejitolea kukumbatia watoto njiti waliotelekezwa katika Hosptali ya Rufaa ya mkoa Amana jijini Dar ...Rais Samia amzawadia milioni 2 mwanamke anayejitolea kuwakumbatia watoto njiti
Rais Samia Suluhu Hassan amemzawadia TZS milioni 2 Mariam Mwakabungu (25) mkazi wa Kinyerezi jijini Dar es Salaam kutokana na kujitolea kwake ...