Afya
Utafiti Mpya: Unywaji pombe wa wastani hupunguza hatari ya magonjwa ya moyo
Uafiti umeonesha kuwa watu wanaotumia kiwango cha wastani cha pombe chini ya chupa moja kwa siku kwa wanawake, na chupa moja hadi ...Wanafunzi 150 wa udaktari kutoka Sudan wahamishiwa Muhimbili
Wanafunzi 150 wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Tiba, Sayansi na Teknolojia (UMST) cha Khartoum nchini Sudan wamehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili ...Ishara 9 zinazoashiria una tatizo la afya ya akili
Kwa mujibu wa mwanasaikolojia, Hellen Mrema kutoka Pour Your Heart Psychotherapy and Counselling Centre Dar es Salaam anaeleza kuwa changamoto ya afya ...TMB: Marufuku kutumia magogo buchani
Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) imewataka wafanyabiashara na wamiliki wa maduka ya nyama kutumia vifaa maalum vya kukata nyama na kuachana na ...Dkt. Mollel: Rais Samia ametoa fedha nyingi kupambana na magonjwa yasiyoambukiza
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeweka fedha nyingi katika mapambano dhidi ya magonjwa ...Rais Samia awafuta machozi wananchi wa Ukerewe
Wizara ya Afya imesema baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuona changamoto wanayopitia wananchi wa Ukerewe ya kukosa huduma bora za afya ...