Afya
Watumishi wa afya wasimamishwa kazi tukio la watoto njiti kung’olewa macho
Kufuatia tukio la vifo vya mapacha wawili njiti waliodaiwa kuuawa huku wakinyofolewa macho, kuchunwa ngozi ya paji la uso na kukatwa ulimi mara ...Waziri Ummy asema Serikali inafuatilia tetesi za UVIKO19
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara inachakata taarifa zilizokusanywa kutoka hospitali na vituo mbalimbali kisha itatoa taarifa endapo kuna ongezeko la ...Daktari aeleza tatizo la kupumua lilivyokatisha uhai wa Membe
Prof.Harun Nyagori ambaye ni Daktari wa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema sababu iliyosababisha ...Upandikizaji Uloto kuwasaidia zaidi wagonjwa wa selimundu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeamua kuwekeza shilingi bilioni 2.7 ili kuanzisha huduma ya upandikizaji uloto na kupunguza gharama za matibabu ...Serikali yatangaza jina jipya la Hospitali ya Mirembe
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali inatarajia kubadilisha jina la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe na kuitwa National ...Mwanasiasa afungwa kwa njama za kuiba figo
Mahakama ya London imemfunga jela miaka tisa na miezi nane mwanasiasa wa Nigeria, Ike Ekweremadu (60) baada ya kufanya njama ya kumpandikiza ...