Afya
Tiba 5 za asili za magonjwa mbalimbali unazoweza kuandaa nyumbani
Wazee wa zamani waliamini katika tiba za asili na hadi leo wengi wao bado wanazitumia. Habari njema ni kwamba baadhi ya tiba ...Wizara ya Afya: Ripoti ya mlipuko wa Kipindupindu Dar es Salaam
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/04/Cholera-DSM-SitRep-002-23-April-23_new_230425_103911.pdf” title=”Cholera DSM SitRep 002-23 April 23_new_230425_103911″]Serikali yatangaza mlipuko wa Kipindupindu Ilala, Dar es Salaam
Wizara ya Afya imetangaza mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika halmashauri ya Ilala jijini Dar es Salaam huku watu 10 wakithibitika kuwa ...Serikali yapiga marufuku matumizi ya vyandarua kwenye bustani za mboga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kusimamia agizo la wananchi kutotumia vyandarua vyenye dawa na kuviweka kwenye ...“Energy Drinks zinavyosababisha matatizo ya moyo”. – JKCI
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema katika utafiti wake mpya umebaini unywaji wa vinywaji vya kuongeza nguvu mwilini maarufu ‘energy ...Waziri Afya apendekeza Hospitali ya Mirembe ibadilishwe jina
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amependekeza Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe kubadilishwa jina ili wananchi kujitokeza kwa wingi na ...