Afya
Bilioni 8 zatengwa kusomesha madaktari bingwa 400
Serikali imetenga zaidi ya TZS bilioni 8 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa “Samia Suluhu Super Specialists Programe” itakayosomesha madaktari bingwa ...Poda ya watoto ya J&J yadaiwa kusababisha saratani
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linachunguza uwezekano wa kuwepo sokoni poda za wawatoto zinazotengenezwa na kampuni kubwa ya dawa ya Marekani ya ...Utafiti: Mkoa wa Kilimanjaro unaongoza kwa uzito uliopitiliza na Kiribatumbo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hali ya uzito uliozidi na uzito uliokithiri (kiribatumbo) umeendelea kuongezeka kutoka asilimia 11.3 mwaka 1991 hadi kufikia ...Marekani yachangia kupunguza vifo vya UKIMWI na Malaria
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imenufaika na misaada kutoka nchini Marekani kwa zaidi ya miaka sita ambayo imechangia kwa kiasi kikubwa ...Daktari: Pombe kali chanzo cha kuzaliwa watoto njiti
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Dkt. Hawa Ngasongwa amesema moja ya sababu inayochangia ...SAUT yawafutia Shahada ya Udaktari wahitimu 162
Chuo Kikuu cha St Augustine Tanzania (SAUT) kimefuta shahada za udaktari kwa wahitimu 162 waliohitimu Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi ...