Afya
UNAIDS yatabiri ongezeko la maambukizi ya Ukimwi Marekani ikiendelea na usitishwaji wa misaada
Shirika la Umoja wa Mataifa la Ukimwi (UNAIDS) limesema kesi mpya za maambukizi ya HIV na Ukimwi huenda zikaongezeka kwa zaidi ya ...Wizara ya Afya yafafanua upatikanaji wa dawa za ARV
Wizara ya Afya imesema dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV) haziuzwi na zipo za kutosha, hivyo watumiaji wa dawa ...Daktari asimamishwa kazi kwa madai ya kumbaka mgonjwa
Daktari mmoja kutoka Mombasa nchini Kenya, Dias Jumba Wabwire, amesimamishwa kazi na Baraza la Maafisa wa Kliniki baada ya kudaiwa kumbaka mgonjwa ...Taasisi ya Bill Gates kumtunuku tuzo Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kupokea tuzo ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ iliyoandaliwa na taasisi ya ‘The Gates Foundation’ ya nchini Marekani ...Kwanini Trump na Musk wanalipinga shirika la misaada la USAID?
Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) limekuwa sehemu muhimu ya sera za misaada ya nje ya Marekani kwa zaidi ya ...