Afya
Marekani yachangia kupunguza vifo vya UKIMWI na Malaria
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imenufaika na misaada kutoka nchini Marekani kwa zaidi ya miaka sita ambayo imechangia kwa kiasi kikubwa ...Daktari: Pombe kali chanzo cha kuzaliwa watoto njiti
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Dkt. Hawa Ngasongwa amesema moja ya sababu inayochangia ...SAUT yawafutia Shahada ya Udaktari wahitimu 162
Chuo Kikuu cha St Augustine Tanzania (SAUT) kimefuta shahada za udaktari kwa wahitimu 162 waliohitimu Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi ...Taarifa ya Serikali kuhusu ugonjwa wa Marburg uliozuka Kagera na namna ya kujikinga
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema uchunguzi uliofanyika katika Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii umethibitisha uwepo wa virusi vya Marburg ...Tahadhari yatolewa kwa wanawake wanaoweka tumbaku sehemu za siri
Wanawake wanaotumia tumbaku kuweka kwenye sehemu zao za siri ili kupata msisimko wameonywa kutofanya hivyo kwa kuwa wako kwenye hatari zaidi ya ...Madhara 5 ya kutumia choo cha kukaa
Mtu anapotumia choo cha kukaa njia yake ya kihifadhi kinyesi huwa imebanwa kiasi, hivyo hatoi kinyesi chote wakati wa kujisadia. Hali hii ...