Afya
JKCI kuwa hospitali kubwa ya moyo barani Afrika
Serikali ya China imesema itaongeza msaada wa kifedha kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ili kuiboresha na kuifanya kuwa kitovu ...Wanahabari na watumishi wa Serikali washambuliwa na Morani Ngorongoro
Timu ya Waandishi wa habari na watumishi wa Serikali wamejeruhiwa na vijana zaidi ya 200 wa jamii ya Kimasai (Morani) jioni ya ...Mandonga afungiwa mwezi mmoja, kufanyiwa uchunguzi Muhimbili
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imesema bondia wa ngumi za kulipwa, Karim Mandonga hatoshiriki ngumi mpaka atakapopimwa afya yake baada ...Kamati yaundwa kuchunguza madaktari waliofeli mtihani
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameunda kamati huru ya uchunguzi ili kuchunguza malalamiko juu ya mitihani ya usajili iliyotolewa na wawakilishi wa ...MOI: Hatuwakati miguu bodaboda kwa makusudi
Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo (MOI), Prof. Abel Makubi amekanusha dhana iliyojengeka juu ya bodaboda kukatwa miguu wanapofikishwa hospitalini ...Waliopandikizwa uume waweza kujamiiana tena
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika amesema huduma ya kupandikiza uume kwa wagonjwa wawili waliokuwa na changamoto ya nguvu ...








