Afya
Kenya yabaini uwepo wa Mbu asiyekufa kwa dawa za Afrika
Watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Tiba Kenya (KEMRI) wamegundua mbu aina ya ‘Anopheles Stephensi’ kutoka barani Asia ambaye anastahimili viua wadudu ...Prof. Janabi aeleza utaratibu wa kufuatwa familia ya Mshale ipewe mwili wa marehemu
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Mohammed Janabi ameitaka familia ya marehemu Swalehe Mshale (74) kufika katika uongozi wa hospitali ...Fahamu faida 5 za kunywa maji moto asubuhi
Baadhi ya watu husema unywaji wa maji ya moto umewasaidia kupunguza vitambi na unene, huku wengine wakitibu maumivu ya viungo na uchovu ...Valentine’s Day inavyoweza kukusababishia matatizo ya kiakili
Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’ ambayo huadhimishwa Februari 14 kila mwaka kwa heshima ya Mtakatifu Valentine inakua kila mwaka. Siku hii huwapa ...Haya ndio madhara ya kuchelewa kula chakula usiku
Baadhi ya watu kula chakula cha usiku muda usiofaa ni kawaida kwao kutokana na kuchelewa kurudi kutoka katika sehemu zao za kazi. ...WHO yatahadharisha janga la pili kutokea Uturuki
Takribani watu 21,000 wamefariki dunia na maelfu ya watu kukosa makazi kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu Februari 6, 2023 nchini Uturuki ...